
Picha yenyewe ni hii hapa chini inaonyesha matokeo ya Chelsea dhidi ya Sunderland then Samuel Eto’o aka-tweet kwa followers wake zaidi ya laki moja na nusu kitu ambacho baadhi yao wamekichukulia vibaya kwamba kwa nini timu ifungwe alafu apost?
![etoo]()

Hizi ni baadhi ya tweets kutoka kwa mashabiki ambapo tweet nyingine zina maneno mazito kutoka kwa mashabiki hawa ambao wamemjibu Samuel.![e1]()



