MWANADADA
Yuster Nyakachara inasemekana ni zaidi ya msanii kwani ni msanii mwenye
maendeleo makubwa kupitia sanaa mbalimbali na sasa ameingia katika
tasnia ya filamu TZ ( Bongo movie ) na kuanza kwa kasi ya
ajabu yani anamiliki kampuni yeye kama yeye, Kampuni inatambulika kwa jina la EAGLE ENTERMENT. Siku chache zijazo ataanza kuwapa ladha wadau wa filamu Tanzania na nje ya nchi alisema Yuster.