MAZINGAOMBWE YA CHADEMA JIJINI MWANZA....VURUGU KUBWA ZAIBUKA KATI YA MEYA NA...
ILIKUWA ni kama uwanja wa vita na mipasho, ndivyo unavyoweza kusema, baada ya kuibuka vurugu kubwa kati ya Meya wa Halmashauri ya Ilemela, Henry Matata na madiwani wake wa Chama Cha Demokrasia na...
View ArticleKAJALA ADAIWA KUPORA MUME WA RAFIKI YAKE NA KULA NAE BATA NCHINI CHINA....
Huku akiendelea kukanusha kutibua ndoa ya shoga’ke kwa macho makavu, mwigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja hivi karibuni amenaswa laivu akila bata na mume huyo wa shoga’ake huko nchini China.Kajala...
View Article‘BELIEBERS’ KUSHEREHEKEA CHRISTMAS KWA MAJONZI, JUSTIN BIEBER LEO ATANGAZA...
Justin Bieber amewapa mashabiki wake (Beliebers) zawadi mbaya kabisa ya Christmas mwaka huu: anastaafu muziki. Staa huyo wa Canada ameangusha bombshell hiyo kwenye Twitter na kuvilaumu vyombo vya...
View ArticleHII NDIO TASWIRA MZIMA YA TUKIO LA MAITI KUKUTWA NA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA...
Mwili wa marehemu Khalid Kitala (47) muda mfupi kabla ya kuifanyia uchunguziWatuhumiwa waliokuwa na mwili wa marehemu Khalid Kitala katika kituo kikuu cha polisi Morogoro. PHOTO/MTANDA BLOG Watuhumiwa...
View ArticleSHILOLE NA AT WAFUNIKA MBAYAAAA KATIKA SHOW YAO WALIYOFANYA UINGEREZA, TAZAMA...
PACHA YAKE SNURA NDO HUYOOO''CHEZEA YEYE' MBUTA NANGA' WAS SUCH A FAB NIGHT LAST NIGHT 'THANKS TO DIDA ....KATUFANYIA KWELIIIIIII''' THE HELPING HAND FROM OUR PRETTY MPORA ''
View ArticleWALIANZA SUGU, SOGGY, PROFESA NA AFANDE SELE, SASA NA ROMA MKATOLIKI KUJIUNGA...
ROMA MKATOLIKI WA JIJINI TANGA: Akiongea na Mabest zake Wa Mtaani huko Tanga amesema ana mpango Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Muziki wake...
View ArticleHII NI HABARI MBAYA KWA WALAJI WA NYAMA YA NGURUWE, HUENDA WENGI WAO WAKAJA...
Nyama ya nguruwe.Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini...
View ArticleMWANADADA YUSTER KUFANYA BALAA BONGO MOVIE...!
MWANADADA Yuster Nyakachara inasemekana ni zaidi ya msanii kwani ni msanii mwenye maendeleo makubwa kupitia sanaa mbalimbali na sasa ameingia katika tasnia ya filamu TZ ( Bongo movie ) na kuanza kwa...
View ArticleHAPANA CHEZEA JOH MAKINI KWA SHOW ..NI MOTO WA KUOTEA MBALI..HIKI NDICHO...
ILIKUWA si mchezo..!Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakhem, jijini Dar...
View ArticleKWELI UGONJWA WA KISUKALI UNAMMALIZA MSANII WA BONGOFLEVA.BAGHDAD BABA LITA,...
MSANII BAGHDAD WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BAGHDAD AMEWADUWAZA WENGI KUTOKANA NA MWONEKANO WAKE MPYA WA MWILI WAKE..AWALI MSANII HUYO ALIZOELEKA KUWA NI MSANII MWENYE MWILI MKUBWA NA KUMTOFAUTISHA NA...
View ArticleKWELI AZAM TV KIBOKO!! TAZAMA PICHA ZA MITAMBO YA HATAARI WALIYOSHUSHA, NI...
Usiache kununua kisimbuzi (king’amuzi) chako cha Azam TV haraka uweze kujionea uhondo huu live, Mechi 26, viwanja viwili, timu 12 Bingwa mmoja Timu nzima ya Azam TV Burudani kwa wote itakuwa Unguja na...
View ArticleWEMA, DIAMOND WAKIMBIZANA MWAKA 2013 VIBAYA KWENYE NAMBA MOJA SOMA HII..!!!
WAKATI mwaka 2013 ukielekea ukingoni na kuukaribisha 2014, mastaa wawili Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ wameonekana kuwa bado wako juu kwa kupendwa sana na mashabiki kuliko nyota wengine...
View ArticlePICHA ZA ZOEZ ZIMA LA KUTAFUTA MTOTO ANAEMUDU KUCHEZA NGOLOLO, AMBAPO...
Ikitafutwa top 5Hapa sasawazazi wakichukua picha za kumbukumbu Huyu ndie alikuwa mshindi wa kwanzaMshindi wa piliHaikuwa kazi ndogo kumpata mshindi wa 3
View ArticleTAZAMA PICHA ZA SHOW ALIYOFANYA JANA DIAMOND PALE LEADERS KWA AJILI YA WATOTO
Shadee ndiye alikuwa host Kazi ikaanza Mpaka giza linaaingia ..kazi ikiendelea..!!!!
View ArticleEXCLUSIVE : MWANADADA JACK CLIFF AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MACAO/CHINA,...
Jackie Cliff ambaye ni video queen wa Bongo anadaiwa kukamatwa na dawa za kulevya nchini China. Star mmoja nchini aliyekataa kutajwa jina lake aliutonya mtandao wa swahiliworldplanet bila kufafanua...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA KUUGAGA MWILI WA ALIYEKUWA KOCHA WA MAKIPA SIMBA MAREHEMU...
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kocha wa makipa wa Simba, marehemu James Kisaka likiingizwa kwenye basi la klabu hiyo, baada ya kutolewa heshima za mwisho katika misa iliyofanyika katika Kanisa la...
View Article