Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

WEMA, DIAMOND WAKIMBIZANA MWAKA 2013 VIBAYA KWENYE NAMBA MOJA SOMA HII..!!!

$
0
0

WAKATI mwaka 2013 ukielekea ukingoni na kuukaribisha 2014, mastaa wawili Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ wameonekana kuwa bado wako juu kwa kupendwa sana na mashabiki kuliko nyota wengine wote.
Wema Sepetu, muigizaji nyota wa filamu Tanzania na Diamond, kinara wa muziki wa kizazi kipya ndiyo wasanii waliokimbiza sana kwa kazi na hovyo kuendelea kujipatia mashabiki kila kukicha. 
Wema Isack Sepetu mwaka huu ameendelea kuwa kinara kwa kuwafunika mastaa wote wa kike kwenye kila idara kuanzia fedha,  kupendwa pamoja na kung’ara karibu kwenye kila jambo analofanya.
Habari zadi zinapatikana ndani ya gazeti la Maskani Bongo lipo mtaani Kila Jumatano

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles