Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

BASI UNAAMBIWA HAWA NDO WASHINDI WA MISS ZANZIBAR MWAKA 1960, HEBU WACHEKI HAPA WALIVYOKUA WAREMBO

$
0
0


Fani ya urembo imekua kivutio sana kwa watu wengi hapa bongo, moja ya matamasha yaliyona watazamaji wengi pindi mda wake unapofika ni tamasha la Miss Tanzania. Mashindano haya yamekua kivutio sana kwani tofauti na kuwashindanisha warembo mbalimbali pia hua kunakuwepo na burudani mbalimbali kama ngoma za asili, burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa bongoflava n.k
But watu wengi hawajui historia ya mashindano hayo, wapi yalipoanzia hadi hivi sasa yamekua na wapenzi wengi. Leo admin wenu wa Bongoclan katika pitapita zangu nkakutana na picha ya washindi wa tatu wa mashindano ya kwanza kabisa ya kumtafuta miss zanzibar. Mashindano hayo yalifanyika mwaka 1968. Hakika ukiitizama picha hii bado ina ubora hii inamaanisha kua mtunzaji wake alikua makini sana kuilinda picha hii. Kama unavyoona katika picha hapo juu mshindi wa kwanza alikua mrembo Bedive Khamis, mshindi wa pili alikua mwanadada Hanifa ibrahim na aliyeshika nafasi ya tatu alikua Doreen D'souza.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles