Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HII NDO TATOO ALIYOCHORA MSANII PREZOO KWA AJILI YA UKUMBUSHO WA MAREHEMU BABA YAKE, SOMA ALICHOKISEMA PREZOO HAPA

$
0
0
http://1.bp.blogspot.com/-aXgfx9ONId0/UCI9Wmf0faI/AAAAAAAADfs/hXDOb3o8w0A/s1600/p%2B6.jpgNa uhakika umeshaona wasanii au watu maarufu wakiwa na tattoo sehemu mbalimbali za miili yao. Wengi wao huchora tatoo hizo kwa sababu ya kitu flani au ukumbusho wa mtu au kitu flani. Msanii Prezoo kwa kenya nahisi ndo anaongoza kwa kua na tatoo nyingi sana katika mwili wake.

Mojawapo ya tatoo hizo ni tatoo inayoonyesha sura ya baba yake mzazi. Baba mzazi wa msanii huyu alifariki miaka mingi iliyopita, na alikua akifahamika kama Dr Morris Makini. Katika tatoo hiyo iliyopo kwenye bega moja la msanii hiyo kwa chini imeandikwa " i will mourn you till i join you "Maneno hayo ni uthibitisho tosha kua Prezoo alimpenda sana baba yake. Katika maneno mengine Prezoo aliandika He taught me always to be a leader & not a disciple #DrMorrisMakini #MyFatherMyMentor #RIP #Rapcellency” Unaweza itazama picha ya tatoo hiyo hapo chini


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles