![]()
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili
linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination
ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website kwa
ajili ya waumini inayoitwa Yeezanity.com . Wafuasi wa dini hiyo
wanatumia sanamu linalofanana kabisa na uso wa Kanye West. Founder wa
dini hii alisema ““Kanye West is the most honest person in our
culture.He has the highest moral standards and highest integrity. He is
the most creative person. And as it’s typical with creative people, he
gets a lot of flack from the lower minded masses. It’s not even that
they don’t like him, it’s that they don’t know what he’s doing because
the press gives it this negative spin all the time”
![yeezus]()
Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni
kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi
lililoandikwa ‘I Believe In Yeezus’.