Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HILI NDO JAMBO LA KUSHANGAZA KATIKA SHEREHE YA SIKU YA KUAZALIWA YA MWANAMITINDO ALLY REHMTULLAH, KEKI YATENGENEZWA KAMA KIUNGO CHA MZAZI CHA MWANAUME. CHEKI HAPA

$
0
0
Dah hii sijui ndo imekua fashion au????? Siku za hivi karibuni kumetokea ka mtindo ka kutengenezwa keki zenye maumbo ya ajabu sana. Moja kati ya maumbo hayo ni keki zenye maumbo ya viungo vya mzazi vya mwanaume au mwanamke. Sikumbuki ilikua ni sherehe ya msanii gani wa Nigeria, lakini nakumbuka kua kua kuna msanii Nigeria alishawahi tengenezewa cake yenye umbo la kiungo cha uzazi cha mwanaume.

Makubwa hayo yalihamia Bongo pale maeneo ya Serena Hotel ambapo mwanamitindo maarufu hapa Bongo Ally Rehmtullah aliandaa sherehe ya kusherehekea kwake kutimiza miaka kadhaa hapa duniani. Katika jambo la ajabu lilitokea katika sherehe hiyo na kunaswa na mdakuzi wetu wa Bongoclan maeneo hayo ni keki yenye umbo la uzazi la mwanaume.

Kwa mujibu wa mdakuzi wetu aliyekuepo maeneo hayo anasema kua watu wengi walishangaa kwa nini kaamua kutengeneza keki ya namna ile na wakakosa majibu. Jambo la namna hiyo halijawahi tokea hapa Bongo so liliwaacha kwenye njia panda baadhi ya wageni waliohudhuria.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles