LADY JAYDEE AAMUA KUONYESHA MKOKO WAKE MPYAAAAA WA BEI MBAYA, UNAWEZA UCHEKI...
Hahaaaa kweli wanaosema wasanii wabongo si wote wenye njaa kama wengi tuzaniavyo, ni juzijuzi tu hapa msanii Diamond Platnumz kavuta mkoko aina ya Toyota Land cruiser V8. Kitendo hicho Diamond kununua...
View ArticleUNAAMBIWA MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA ALIKUJA TANZANIA NA NDEGE YAKE BINAFSI,...
Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi.Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya “Kioo”.Unaambiwa...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA ENEO LA MAKOMELO MLIMA SEKENKE NA KUUA...
Ajali hii ilitokea maeneo ya mlima Sekenke ambapo gari ilimgonga mmoja wa wananchi wa eneo hilo nakusababisha kifo chake papo hapo, jambo lililosababisha wananchi wa eneo hilo kuamua kufunga barabara...
View ArticleHILI NDO JAMBO LA KUSHANGAZA KATIKA SHEREHE YA SIKU YA KUAZALIWA YA...
Dah hii sijui ndo imekua fashion au????? Siku za hivi karibuni kumetokea ka mtindo ka kutengenezwa keki zenye maumbo ya ajabu sana. Moja kati ya maumbo hayo ni keki zenye maumbo ya viungo vya mzazi...
View ArticleJE WAJUA WANAWAKE WANAONGOZA KWA VITAMBI (UTAFITI USIO RASMI)
Miaka ya tisini ( 90) kurudi nyuma ilikuwa nadra sana kukuta mwanamke ana kitambi. Ukimkuta mwanamke anatumbo kubwa wakati huo, lazima atakuwa ana mimba. Hali sasa inatisha. Wanawake wengi wana vitambi...
View ArticleMPENZI WA PREZZO STARLISHA TILLYA AWEKA MTANDAONI JUMBE ZA PREZZO...
Wakati huu unaweza kuwa wakati wa kucheka kiaina kwa Huddah Monroe ambaye kwa kipindi kirefu alinyimwa raha na tambo za mrembo wa kitanzania aishie Marekani, Starlisha Tillya aka Chagga Barbie au The...
View ArticleDIVA LOVENESS AMCHANA STARLISHA KIANA KWA KUANIKA MESSAGE PRIVATE ZA PREZZO...
Mtangazaji matata wa Clouds Fm Anayejulikana kwa jina la Loveness Diva jana usiku katika kipindi chake Alifunguka kiana kuhusu wapenzi wanapogombana na kuanza kuweka mitandaoni Private Message...
View ArticleOBAMA NOMA SANA, AFUNGUKA NA KUSEMA BANGI NI BORA KULIKO POMBE. SOMA...
President Barack Obama wa Marekani amesema kuvuta bangi ni salama zaidi kuliko kunywa pombe lakini akawasisitizia mabinti zake kwamba hilo sio wazo zuri pia ambapo kwa mujibu wa gazeti la The Mirror,...
View ArticleINTERVIEW ALIYOIFANYA MWEZI ULIOPITA LESEGO MOTSEPE ‘LETTY MATEBANE’ WA...
Taarifa zilizotoka zinasema Motsepe ambae alijitangaza kuishi na virusi vya UKIMWI mwishoni mwa mwaka 2011 amekutwa amefariki saa tano asubuhi nyumbani kwake.Hii picha hapa na hiyo ya juu ni wakati...
View ArticleROSE NDAUKA ASHANGAZWA NA TUNDAMAN, BAADA YA KUJISIFU KUWA WAPENZI, ASEMA...
MSANII wa filamu nchini Rose Ndauka ashangazwa na kauli ya msanii wa muziki wa bongo Fleva Tunda Man ya kujitangazia kuwa alishawahi kuwa naye katika mahusiano na kuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa...
View ArticleVIDEO YA JUX YAFUNGIWA KUPIGWA TV STATION ZA BONGO KISA VIPANDE HIVI VYA...
Ni mara chache kusikia video flani ya bongofleva haichezwi kwenye vituo vya TV kwa sababu ya wamiliki wa vituo hivyo kuona haina maadili hivyo haiwezi kuruhusiwa kuonyeshwa kwa mamilioni ya Watanzania....
View ArticleHII NDO KUFURU YA PESA YA MCHEZAJI..'SAMUEL ETO’O' HAYA NDIYO MAGARI YA...
Huyu ni Mka Cameroon anayesakata Kabumbu la kulipwa huko barani Ulaya, kwa sasa anaichezea Timu ya Chelsea, Pia Samuel ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Cameroon. Eto'o hivi karibuni ameonekana kutisha...
View ArticleMASOGANGE ANAONGOZA KUTUPIA PICHA ZA UTATAAAAA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA
Video Queen , Agness Gerard ' Masogange' anayeongoza kutupia picha nyingi kwa siku katika Mtandao wa ISTAGRAM.
View ArticleHUYU NDO MTANZANIA WA KWANZA ALIYEPATA NAFASI KUCHEZA TIMU YA COLORADO RAPIDS...
Albert Edward jezi nyekundu na bukta nyeupe # 2 mgongoni Name: Albert Edward Position: Defender Age: 22 Date of Birth: November 19th, 1991 Birth Place: Dar es Salaam, Tanzania Citizenship: Australian...
View ArticleJINA LA WEMA SEPETU LATUMIKA KUTAPELI, MATAPELI WADAI KUTOA MIKOPO
MISS Tanzania 2006, Wema Sepetu ameingizwa katika mtandao wa kitapeli bila mwenyewe kufahamu, ambapo watu kadhaa wamejikuta wakiingizwa mjini kwa madai ya kukopeshwa fedha. Asasi inayomtumia Miss...
View Article