

Hii picha hapa na hiyo ya juu ni wakati alipokua kwenye hiyo interview ambayo unaweza kuitazama hapa chini.
Kama hii taarifa ilikupita unaweza kusoma kwenye post iliyopita ila kwa post hii nakupatia nafasi utazame tu interview yake ya TV aliyoifanya December 2013.
