Baunsa
maarufu kama Rosse akiwa na Azonto mwishoni mwa mwaka jana ambapo
mwanamuziki huyo wa Raia wa Ghana alikuwa amempa shavu la kwenda
kumlinda nchini Ungereza lakini Diamond amemzuia ili amlinde yeye na
Mkewe Wema.
Hapa Baunsa huyo akiwa na Diamond baada ya kumzuia asiende nchini Ungereza kwa mshahara wa shilingi laki tano kwa wiki huku kwa siku pia akichukua posho ndefu. pamoja na kula vinono na mshua wake.