Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

TAZAMA PICHA ZA OMMY DIMPOZ ALIPOTUA OAKLAND MAREKANI KWA AJILI YA KUPIGA SHOW NCHINI HUMO

$
0
0




Juu na chini ni msanii anayekimbiza Bongo kwa sasa Ommy Dimpoz pozi kwa pozi akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa San Francisco mara tu baada ya kutua California tayari kwa makamuzi ya nguvu siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 ndani ya jiji la wajanja Oakland.





Msikilize Ommy Dimpoz akifanya mahojiano na Vijimambo kwa njia ya simu akielezea jinsi gani alivyojiandaa na Pozi kwa Pozi awamu ya pili

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles