Akiongea na blog hii hit
maker wa wimbo wa majanga Snura Mushi amesema style yake mpya ya ya
ushaharibu... imeshakuwa gumzo mtaani na kila siku anatumiwa picha za
watu mbalimbali wakiweka ishara ya ushaharibu wakiwemo mastar wakubwa
wamuziki watanzania...imefikia wakati akiweka tu picha yenye ishara hiyo
basi msg zinakuja za neno la ushaharibu.... ushaharibu ni wimbo mpya wa
msanii Snura Mushi ambao unategemea kutoka mwanzoni mwa mwezi watatu...
wimbo huo ameurecord katika studio za CHAIDERS REC chini ya producer
mahili Abby dady...Snura amesema wimbo huo amewazungumzia watu wenye
tabia za kuiangalia leo na kudhalau kesho.....
Linex
Zimwi
Amisou
Mapacha#team majanga
Snura na LIDYA
Davina
ZUHURA,CUTESHUU
Zuu Kamiligado.
Kala jeremiah
dvj ommy crayze
rich mavoco..
Dj choka
izo bizness
kama unaweza piga picha yako nzuri na wewe kokote ulipo kisha tuma picha yako kwenye email yetu tukupandishe hewani tuma kwenye hemedkavu@yahoo.com au whatsaap namba 0715177000.