Mshindi wa BBA 2013 Dillish Mathews ameachana na mpenzi wake a siku nyingi Stephen Gaeseb kwa kilichoripotiwa na Namibian Sun kuwa ni baada ya Dilish kugundua kuwa mpenzi wake anamtumia meseji za mapenzi mwanamke wa ki -Nigeria.
Alikiri kuwa wakati Dillish alipokuwa katika show, kulikuwa na mwanamke wa ki-Nigeria aliekuwa akisaidia kumpigia debe katika nchi yake kumpigia kura aweze kushinda. Nilikuwa nikiwasilian nae kwasababu ya kumsaidia kupiga kampeni, tumekuwa tukitumiana meseji za kimapenzi, kitu ambacho wanaume wengi hufanya, haimaanishi nataka kuwa nae, kisha akatuma picha ya maongezi yetu kwa rafiki yake na Dilish ambae alimtumia Dellish. tukawa na malumbano kati yangu na Dillish na kisha tukalumbana na vingine pia kitu kilichopelekea kuongea vitu ambavyo hatukutegemea kuongea. Baada ya hapo tukaamua kuachanana hatuko pamoja tangu mwezi wa kumi na mbili.

Stephen pia amekanusha madai ya kuwa Dilish ni gold digger na kuwa wameachana baada ya kupata pesa za ushindi wa BBA na kuendelea kusema kuwa licha ya kuwa ana hela kwa sasa lakini pia ni mschana mzuri na anamuheshim sana na kukana kuwa amempa mimba mwanamke mwingine na kuwa ana watoto wengine.
wakati huo huo Dillish amezingua lip gloss zake Dillish by vault
