PICHA ZAIDI ZA DIAMOND NA D BANJ WAKIWA SOUTH AFRIKA, DIAMOND AMFUNDISHA D...
Ngololo master pale coco master....!!! Babu Tale,Salam na Dbanj
View ArticleMIMBA YA LINAH ALIYOPEWA NA MHINDI YAZUA UTATA, LINAH AAMUA KUFUNGUKA NA...
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Estelinah Sanga maarufu kama Linah, anadaiwa kupewa ujauzito na kijana mmoja wa Kihindi anayejulikana kwa jina moja la Nagar. Chanzo cha uhakika kimeliambia...
View ArticleCHADEMA WATOA SIKU TATU KWA RAIS KIKWETE KUFUTA KAULI YAKE
Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kufuta kauli yake ya kuwataka wana CCM kuacha unyonge na kujibu mapigo dhidi ya upinzani na ametakiwa kuomba radhi ndani ya siku tatu, vinginevyo suala hilo litafikishwa...
View ArticleOMMY DIMPOZ AMPIGA KIJEMBE KIKALI DIAMOND KUPITIA TWITTER, ISHU NZIMA NI...
Diamond Platnumz ali-tweet kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano …In between, Ommy Dimpoz jumped in… This is too far hilarious … Ha ha ha …Ni kweli haya...
View ArticleWADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI...
Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Aj It Development Bw Jackson Audiface akizungumzia kuhusu Maonyesho ya Tatu ya Kazi za Vijana wajasiriamali yatakayofanyika Mkoani Dododma Mwezi Aprili mwaka huu....
View ArticleKWA WALE MLIOKUA HAMMJUI MKE WA MWIGIZAJI AKI KUTOKA NIGERIA BASI, TAZAMA...
You all know actor Chinedu Ikedieze's wife is a designer, right? Nneoma Ikedieze is the CEO of Nikiz Collection and unveiled her 2014 collection at Oriental Hall, Lagos on Sunday February 16th and...
View ArticleMSHINDI WA BBA 2013 DILLISH MATHEWS AACHANA NA MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI
Mshindi wa BBA 2013 Dillish Mathews ameachana na mpenzi wake a siku nyingi Stephen Gaeseb kwa kilichoripotiwa na Namibian Sun kuwa ni baada ya Dilish kugundua kuwa mpenzi wake anamtumia meseji za...
View ArticleTANZANIA TUNAHITAJI RAIS MWENYE U DIKTETA KAMA KAGAME AJE KUBADILISHA MINDSET...
Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani...
View ArticleZITTO KABWE: NANI WAMEIBA Sh 840 BILIONI KUTOKA HAZINA? ZITTO AFUNGUKA MENGI...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Mh,Zitto Kabwe ameandika haya yafuatayo Ugumu uliopo hapa ni kwamba haijulikani kama fedha hizo zilizopotea zilitokana na kodi za wananchi au wafadhili ambao...
View ArticleTAZAMA VIDEO YA NAPE AKISIMULIA UNYAMA WA CHADEMA ULIOILAZIMISHA CCM...
Hii ni Video fupi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Bw. Nape Nnauye akisimulia unyama na ukatili unaofanywa na chama pinzani cha CHADEMA kiasi cha kuilazimu CCM nayo...
View ArticleMAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA YATOA ONYO KALI KWA POLISI IRINGA
Jaji Mary Shangali akikagua gwaride la askari Polisi siku ya sheria nchini JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, Mary Shangali amelaani vikali vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa na jeshi la Polisi...
View ArticleHILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAHI KUONA TOKA TUPATE...
Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni...
View ArticleALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA, WAONYESHANA MALAVIDAVI HADHARANI
Denis Mtima, aliyekuwa Igunga, TaboraKWA mara ya kwanza, mzazi mwenza na msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Elias Makala ameibuka na kujinadi hadharani wilayani Igunga,...
View ArticleKAMA ULIKUA HUJUI BASI HIKI NDO KIJIJI ALICHOZALIWA SHILOLE, CHEKI PICHA HAPA...
Wiki iliyoisha kupitia website hii tulipost habari kumhusu Shilole kwenda kumtembelea mama yake mzazi huko Igunga ambako pia alikua na show. Kama hukuicheki video ya shilole akiongea na mama yake basi...
View ArticleHABARI MBAYA KWA WAPENZI WA MIELEKA, HUYU NDO MWANAMIELEKA ALIYEFARIKI SIKU...
Hii itakua ni habari mbaya kwa wapenzi wa mieleka duniani kote, kwani mmoja wa wanamieleka maarufu kama Big Daddy V amefariki. Taarifa za awali zilizotolewa na uongozi wa WWE zinasema kua Big Daddy...
View ArticleUNAONAJE HUYU MDADA AKIWA SHEMU WETU KWA DIAMOND???? TUPE MAONI YAKO
Diamond akiwa na mwanamziki Victoria Kimani huko South Afrika
View ArticleNYOTA YA WASTARA YAZIDI KUSHINE BONGO MOVIE, SOMA ALICHOKISEMA RIYAMA KUMHUSU...
Mcheza filamu za kibongo Riyama Ally anaetisha katika filamu za kulia lia amesema licha ya kipaji alichonacho lakini hamfikii msanii mwenzake Wastara Sajuki. Amemtaja msanii huyo kuwa anauwezo mkubwa...
View ArticleJIONEE MWENYEWE JINSI MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA ALIPOAMUA KUMWAGA PESA KWA...
Msanii kutoka 254 Kenya Jaguar katika show ya Nax Mingle iliyofanyika Nakuru, wiki iliyopita alimwaga mahela kwa mashabiki waliokuwa wamehudhuria show hiyo. Alitoa burungutu la pesa na kumwaga kwa...
View Article