Mwana
muziki wa bongo flava maarufu kwajina la Jux aonekanae kwenye picha na
mrembo moja kitandani ambaye anafanana kwa kiasi kikubwa na aliyekua mpenzi wake Jacl Cliff ambaye miezi michache iliyopita alikamatwa na madawa huko china. Swali ni Jack Cliff kaachiwa au la????