Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

KWA WALE WA WEMA SEPETU..!! HUU NDIYO MZIGO MPYA KUTOKA KWA WEMA KUJA KWAKO..!!

$
0
0
Kwa mashabiki wa Wema Sepetu sasa mkae tayari kwa kuipokea filamu yake mpya iitwayo MADAME (our own crazy boss lady) ambayo kesho inatarajia kutoka yaani Alhamisi ambapo humo ndani wapo Mastaa wengine kama Deogratus Shija,Simon J Mwapagata,Maulidy Ally na Sudy Ally.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles