Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HUU NDIYO MZIGO MPYAAAAAA WA PROF. JAY AKIWA KAMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ..!!

$
0
0
Hapo awali mtu mzima Daddy (Prof. Jay) aliwahi kutoa picha akiwa studio kwa P-funk Majani akiwa pamoja na Diamond Platnumz, katika maelezo ya picha hizo Prof alisema tukae mkao wa kusikiliza "kolabo" kali kati yake na Diamond Platnumz ingawa hakusema jina la wimbo utaitwaje,

Hatimaye Prof. Jay ameachia Official Cover litalohusika katika track yake mpyaaaaa itayokujia hivi karibuni katika masikio yako akiwa kashirikiana na Diamond Platumz.  wimbo uliyoandikwa kwenye Cover hilo unakwenda kwa jina la "KIPI SIJASIKIA"
COMING SOON.....................

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles