Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

MAMA HUYU AFIKISHWA POLISI KWA KUMPIGA, KUMJERUHI KICHWA NA KUMNG'ATA NA MENO MTOTO WAKE kisa chipsi

$
0
0
Terethia Fidelis aliyebeba mtoto mgongoni akisindikizwa na umati wa watu toka ofisi ya mkuu wa mtaa alipokuwa akihijiwa kuhusu tuhuma yake ya kumpiga, kumpasua kichwani na kumng'ata na meno mgongoni mtoto wake Magge Fred 8. 
 
Mtuhumiwa Theresia Fidelis akipanda Kwenye gali la polisi baada ya kutuhumiwa kumpiga, kumpasua kichwa na kung'ata kwa meno Mtoto wa Magge Fred 8 mwanafunzi wa Darasa la pili Mnadani Dodoma.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Karume kata ya mnadani manispaa ya Dodoma Matwiga Kyata akionyesha moja ya majeraha ya kichwani na Mgongoni, aliyojeruhiwa mtoto MaggE Fred 8, kipogo hicho kinadaiwa kufanywa na mama yake mzazi kisa kikiwa ni mtoto huyo kuchukua hel na kwenda kununua chipsi bila ruhusa ya mama yake.
[PICHA NA JOHN BANDA]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles