JE YATATOKEA HAYA BAADA YA KIFO CHA DIAMOND......!! JIONEE MWENYEWE HAPA
Msanii anayefanya vizuri sana kwa sasa Afrika mashariki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amezungumza maneno mazito aliyokiri huwa yanamtoa machozi, ni mambo yanayohusiana na ‘kifo chake’!. Hit maker...
View ArticleSAMSUNG GALAXY MINI, NOKIA LUMIA 620 NA HP PRO BOOK LAPTOP ZINAUZWA KWA BEI...
HII NI SAMSUNG GALAXY MINI MPYA KABISA IPO KWENYE BOKSI NA INAUZWA KWA BEI YA KUTUPA YA TZSH 300,000 TU. WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0714855118 PIA NAPATIKANA WHATSAPP KWA NAMBA HIYO HIYO. NIPO DARSIMU...
View ArticleCHECK OUT NEW VIDEO FIDO FT DANGER DANGER -- TUPO TULIPO
Here Comes Our First MUSIC VIDEO FiDO & Danger Ranger - Tupo Tulipo Video Done by GOOD PICTURES LAB.. http://www.youtube.com/watch?v=gbVXfB0Z1wg&feature=youtu.be Show love and Support kwetu...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD NGOMA MPYA YA MSANII NEY LEE - NIPE MUDA
Nipe muda ni single ya pili ya Nay Lee baada ya kuachia "Umeenda" uliofanya vizuri katika media mbali mbali.
View ArticleJOHN MNYIKA TENAA ZAMU HII AANIKA NAMBA YA SIMU YA CHENGE ,SOMA ALICHOSEMA...
Chenge (Mb) amesema kodi ya kadi za simu (SimCardTax) ni sahihi kwa utafiti wao; aulizwe kupitia 0754782577 atoe maelezo zaidi na vielelezo vya ziada Leo tarehe 25 Julai 2013 chombo kimoja cha habari...
View ArticleMAMA HUYU AFIKISHWA POLISI KWA KUMPIGA, KUMJERUHI KICHWA NA KUMNG'ATA NA MENO...
Terethia Fidelis aliyebeba mtoto mgongoni akisindikizwa na umati wa watu toka ofisi ya mkuu wa mtaa alipokuwa akihijiwa kuhusu tuhuma yake ya kumpiga, kumpasua kichwani na kumng'ata na meno mgongoni...
View ArticleHALI YA MZEE SMALL INAENDELEA VIZURI KWA SASA, KAMA UMEGUSWA HII NDO NJIA YA...
Taarifa / Mrejesho : Hali ya Msanii nguli wa maigizo hapa nchini Tanzania, Ndg Said Bin Wangamba almaarufu kama Mzee Small inaendelea vizuri, na ANASHUKURU sana kwa wale wote wanaomkumbuka katika...
View ArticleUKITAKA KUJUA UBAYA WA VITA, TAZAMA PICHA HIZI ZA WATU WALIVYOKUFA KATIKA...
“(The helicopters) have been over Rumangabo for the last two hours. It seems there have been quite a number of victims,” said Emmanuel De Merode, chief warden at the Virunga National Park, which has...
View ArticleKITALE ALAANI KUHUSISHWA NA MALI ZA SHARO, SOMA HAPA ALICHOKISEMA
Msanii wa Commedy nchini na muimbaji wa bongo fleva Kitale rais wa mateja, amekanusha taarifa zinazomuhusiha na mali za Marehemu Sharo milionea. Katika A/C yake ya BBM Kitale ameandika "mama...
View ArticleDUH, DJ KHALED WA YOUNG MONEY ANATAKA NICK MINAJ AWE MKE WAKE, MCHEKI HAPA...
DJ Khaled anamtaka Nicki Minaj awe mke wake wa maisha. Dj huyo wa Cash Money amepropose uchumba kwa labelmate wake huyo wa YMCMB kwenye video iliyorushwa MTV News. Get More:DJ Khaled, Music News“I...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA JOEL JAY - INTERESTED IN YOU
Upload your music for free at ReverbNation.com
View ArticleWARAKA MZITO ALIOANDIKA KALA JEREMIAH UKIMHUSU LOWASA HUU HAPA,
TANGAZO KWA UMMA MIMI KALA JEREMIAH NILIKUWA MSANII WA KWANZA TANZANIA KUMSEMA MHESHIMIWA EDWARD LOWASA KUPITIA WIMBO WANGU UITWAO WIMBO WA TAIFA BAADA YA MHESHIMIWA KUKUMBWA NA KASHFA YA UFISADI WA...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA UGONI ZA NDIKUMANA NA LUCY KOMBA ZINAZOMTESA IRENE UWOYA..!!
LILE sakata la staa wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya kutuhumu kumshika ugoni staa mwenzake aliyemtoa kwenye gemu, Lucy Francis Komba limeingia sura nyingine kuafutia picha za filamu inayodaiwa...
View ArticleEXCLUSIVE: MSIKILIZE CHIBWA AKIJIBU TUHUMA KUHUSU KUZUSHA KUA MSANII PAPI...
SIKU CHACHE ZILIZOPITA MSANII CHIBWA ALIANDIKA KATIKA WALL YAKE KUA MSANII MWENZAKE AMBAYE KWA SASA ANATUMIKIA KIFUNGO, PAPII KOCHA KUA KAFARIKI. TUMEMTAFUTA CHIBWA NA HIKI NDO ALICHOKISEMA KUHUSIANA...
View ArticleTAZAMA PICHA YA MWANAMKE ALIYEPANGA KUMTOA UHAI MUMEWE ILI ARITHI MALI ZA...
Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo. Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono, Arusha na...
View Article