
Ray C ametembelea kituo cha vijana walioamua kuachana na matumizi ya
dawa za kulevya na tabia hatarishi huko Kigamboni ambapo kwenye kituo
hicho Ray C alikutana na msanii aliyekua wa Nako II Nako Ibra Da
Hustler.
Ibra yupo kwenye kituo hicho na vijana wengine walioachana matumizi ya
dawa za kulevya ambapo Ray C amemuhoji hivyo hiyo interview itaonekana
kwenye program inayoandaliwa na foundation yake.
Ibra akiwa na Ray C.