HAWA NDIYO WATU MAARUFU HAPA BONGO AMBAO WAPENZI WAO HAWAJULIKANI MPAKA LEO...
1. Martin KadindaNi mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi...
View ArticleREDIO MPYA DAR 93.7 YAWANYIMA WATU USINGIZI..JE NI KWELI NI YA LADY JAY DEE?
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika hewani kwa majaribio kwa mara ya kwanza.Redio hii iliobeba...
View ArticleNGASSA APELEKA MPIRA WA HAT TRICK ALIOPEWA TAIFA KWA WEMA SEPETU, SOMA...
WEMA“Diamond ni rafiki yangu, lakini mpira huu nitampelekea Wema kwa kuwa ni shemeji yangu na tunaheshimiana sana,” alisema Ngassa na kuongeza: Mrisho Ngassa wa Yanga, jana alifanikiwa kufunga mabao...
View ArticleDUH! BASI UNAAMBIWA HII NDO BUGATTI ALIYOZAWADIWA JUSTIN BIEBER NA BIRDMAN....
Birdman bosi wa YMCMB amempa smile msanii mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa kumpa zawadi ya gari lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.9 aina ya Bugatti Veyron 16.4. Justin Bieber hakusita...
View ArticleMR NICE AELEZA SABABU ZA KUFIRISIKA , ASEMA ALIWAHI KUWA NA ZAIDI YA MILIONI...
Hivi karibuni baada ya kuchezea kichapo kisa kikidaiwa kuwa mke wa mtu na hapo alipigwa chupa ya bia iliyomchana chana uso mzima na kumuacha na kilema cha makovu. Hapa Mr Nice Shavu dodo msafara wake...
View ArticleKIMENUKA ! SASA DIAMOND, JOTI, MASANJA NA WASANII WENGINE KUCHUNGUZWA NA...
KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa ‘mastaa’ Bongo ambao wameibuka na utajiri wa ghafla, Uwazi...
View ArticleHILI NDO ZALI JINGINE LILILOMWANGUKIA LADY JAYDEE, NI KUHUSU KOMBE LA DUNIA....
Msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa ajili ya michuano hiyo mikubwa zaidi ya soka duniani.Jaydee anayefahamika...
View ArticleBAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI CHALINZE HAYA NDIO MALALAMIKO YA CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinatoa tamko la awali kwa umma kuhusu ukiukwaji mkubwa wa taratibu, kanuni na sheria zinazosimamia uchaguzi, zilizofanyika kwenye mchakato wa uchaguzi...
View ArticleUMBEA WA INSTA:CATHERINE SHAWA APEWA USHAURI KUACHA KUUZA MADAWA YA KULEVYA
Catherine shawa mamaa Ya sembe , sister duu muuza sembe aliebakia baada Ya beach baby kukamatwa (jacky Cliff) na walikua mabeste kabla Ya ugomvi wao maana Catherine ndio alimpa mchongo jacky baada Ya...
View ArticleUMEONA PICHA HIZI ALIZOWEKA MKE MTARAJIWA WA KANYE WEST??? NI MAJANGA MATUPU...
Kim Kardashian showed off her famously curvy rear in a tiny bikini as she posed for a photo shoot at the beach while on holiday in Thailand last week. Continue to see more photos...
View ArticleSIJUI NI BANGI AU POMBE ZILIZOMSUMBUA DUDU BAYA KUMKATA MAMA YAKE SIKIO NA...
Kupitia U Heard ya leo na Gossip Cop, story ni kuhusu Dudu Baya kumkata skio mama yake mkubw, kwa madai kuwa anamloga ndio maana hafanyi vizuri katika kazi zake za mziki. Kwa mujibu wa mdogo wake...
View ArticleHAWA NDIO WAIGIZAJI WATANO WA KIKE KUTOKA BONGOMOVIE AMBAO WANAONGOZA KWA...
Kwa mujibu wa Technical research ya DOMO ZEGE....kupitia Google, Kwakuangalia Most Keywords ni Tanzania...Haya ndio majina ya waigizaji wa kike ambao watu wengi huandika majina yao kwenye Google...
View ArticleJE WAJUA KUA KUA RIHANA KAFANANA NA MAMA YAKE ZAIDI KULIKO BABA YAKE????...
Baada ya hivi majuzi Rihana kuonekana pamoja na baba yake wakiwa wameshikana mkono...Watu mengi mitandaoni wame comment kuwa Rihana kwakiasi kikubwa amefanana na Baba yake....Cheki hizi picha then Judge!
View ArticleKANUMBA DAY... LULU AONGOZA VILIO KABURINI
R.I.P Kanumba! Ikiwa imepita miaka miwili au siku 730 tangu aliyekuwa mwigizaji nambari wani Bongo, Steven Kanumba ‘The Great’ afariki dunia, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejikuta...
View ArticleTAZAMA PICHA RAY C ALIVYOMTEMBELEA SHEMEJI WAKE WA ZAMANI IBRA DA HUSTLER...
Rehema Chalamila ‘Ray C’ baada ya mchakato wakutafuta logo kwa ajili ya foundation yake ya kupambana na kusaidia vijana wasiingie kwenye matumizi ya dawa za kulevya hatimaye ameanza kazi. Ray C...
View ArticleSASA AUNT AKWEA PIPA MPAKA DUBAI KISA KUOGOPA KUSALITIWA, SOMA MKASA MZIMA HAPA
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekwea pipa kumfuata mumewe, Sunday Demonte nchini Dubai huku ikielezwa kuwa amefanya hivyo kwa kuhofia kusalitiwa na mumewe.Akiteta na Risasi Mchanganyiko,...
View ArticleHUU NI WARAKA MZITO KUTOKA KWA GODBLESS LEMA KWA RAISI KIKWETE..!! USOME HAPA
Mh Rais Nakusalimu . Wakati mwingine unapaswa kupewa pole na kuombewa na kufanyiwa dua kwani wewe ndie unatumikia ofisi kubwa kuliko zote Nchini na wakati huo huo unapaswa kupewa hongera kufikia...
View ArticleWATAALA WA MAMBO WANASEMA..!! HIZI NDIZO NGUO WATAZOVAA DIAMOND NA WEMA SIKU...
When your are talking about the super stars artist of Tanzania, basi kiukweli hutaacha kumtaja wema sepetu na diamond the platnumz, kiukweli the guys are hot and they know how to play with mass, Hizo...
View ArticleHIVI NDIVYO MWASITI ALIVYOFUNGUKA KUHUSU WANAUME, MJIPANGE!!
STAA anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva akitokea Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’, Mwasiti Almas, amesema kwa sasa hataki kusikia habari za mwanaume kabisa.Akizoza na mwandishi wetu, Mwasiti alisema:...
View ArticleDULLY SYKES AMTETEA DIAMOND KUHUSU TUHUMA ZA KUTEGEMEA MGANGA WAKE KUPTA...
Jina la Diamond Platinumz mtoto wa Tandale mwenye historia ya kuishi maisha ya ukata, sasa hivi ni moja kati ya majina makubwa kimuziki barani Afrika huku akishiriki kwenye project kubwa kama One...
View Article