Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

WAARABU WANA HELA SANA, TAZAMA JENGO HILI LITALOJENGWA SAUDI ARABIA LINA GHOROFA 200 NA LITAKUA REFU ZAIDI DUNIANI.

$
0
0
Kingdom Tower litakuwa na urefu wa feel 3,280 sawa na kilometer moja kwenda juu. Gharama za usimikaji wa jengo hili ni Dollar Bil 1,23 lita kuwa na floor 200, ujenzi wa jengo hili utatumika kwa zege na vyuma. Feel 5.7 zege itachukua nafasi na tons 80,000 ni vyuma vitachukua nafasi hadi kukamirika. 
Mchoro wa jengo hilo la Kingdom Tower 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles