![]() |
Lucy na mpenzi wake |
Star wa filamu Swahiliwood Tanzania, Lucy Komba ameamua kumuweka wazi
mpenzi wake ambaye wana muda sasa tangu wawe pamoja. Jamaa huyo ni raia
wa Denmark ambaye ni msanii wa muziki na pia akiwa na kazi zake nyingine
mbali na muziki.
Swahiliworldplanet imefanikiwa kuzipata picha za Lucy na mpenzi wake huyo kama wanavyoonekana pichani.
Lucy yupo nchini Denmark kwa zaidi ya mwezi sasa huku filamu mpya ya
Fundi Seremala aliyoigiza na Cloud, Kajala na Amanda [Poshy ikitarajiwa
kuingia sokoni hivi karibuni.
![]() |
Lucy na mpenzi wake |