Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

LINAH SANGA "JAMANI NAFUNGA NDOA SOON NA MCHUCHU WANGU"

$
0
0
Baada ya Linah Sanga Siku hizi Kuonekana Kila kona Akiwa na Kijana Anayejulikana kwa jina la Nagari Kombo Amehabarisha na Kusema huyo ni mchumba yake kabisa na Nyumbani wameshajitambulisha kila kitu kiko sawa na Wanasubiria Ndoa tu Ambayo itakuwa hivi karibuni....Mara ya mwisho walionekana pamoja siku ya Tuzo za Kill Pale Mlimani City ...Mchumba wake Ni yule Kijana Aliyepata umaarufu Baada ya kuingia Uwanjani siku ya Taifa Stars na Brazil na kwenda Kumkubatia Ricardo Kaka huku Mpira Ukiendelea.
-Udaku Specially-

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles