Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

ANGALIA MADAWA YA KULEVYA YALIVYOMUHARIBU VIDEO QUEEN WA NGOMA YA ICE CREAM YA NOORAH

$
0
0
Hakuna asiye kumbuka how big video ya Noorah aka Baba styles ilivyosumbua TV za watu na ngoma yake ya Ice cream akimshirikisha Sumalee.Mkali huyo ambae aliweza kufanya show kibao katika mikoa mbali mbali na kuwa maarufu vibaya sana, katika mashairi yake kulikuwa na verse kama ” demu mwenye shepu la kukata ndio maana mabishoo wana data coz ana utamu kama Ice cream”.



Sasa hapa vibe imekutana na Miss Ice cream (Doreen) ambae ni video queen wa ngoma hiyo sasa hivi ni mteja mzuri sana maeneo ya Sinza makaburini huku akikataa kufungua sababu ya yeye kuwa mteja lakin akidai msaada kwa jamii au yeyote atakae guswa na mateso yake kwani hali yake ni mbaya sana


Hata kwa kumuona tu na kutoa msaada haraka itakua vyema maana miguu yake imevimba sana na tumbo lake likiwa kubwa huku akiwa ujauzito wowote, this is very sad indeed kwa Doreen . Kwa yoyote anayeweza kumsaidia mrembo huyu ni vyema kufanya hivyo sababu anahitaji maombi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles