$ 0 0 Anaitwa James ni model kutoka kampuni ya Wandaz Lab na ndio alietokelezea katika tangazo jipya la bia ya Kilimanjaro. Na hizi ni picha za wakati wa utengenezaji wa tangazo hilo.