Ikiwa
zimebaki siku chache kwa Kim na Kanye West kufunga ndoa, Kim Kardashian
ameonekana akitoka katika Hotel ya Peninsula katika mji wa Beverly
Hills ambako sherehe hizo zijulikanazo kama Bridal shower (a gift-giving party held for a bride-to-be in anticipation of her wedding) ambazo kibongo bongo ni kama kitchen party.
Kwamujibu wa vyanzo wa habari ya UDAKU nchini Marekani, Sherehe hizo zilifanyika bila kuruhusu mtu kuchukua video wala picha....
Kwa bahati nzuri Kim mwenyewe aliamua kushare nasi picha hizi baada ya kutoka kwenye sherehe hiyo.