![]() |
Wema na Aunty |
Muda wote wa SAKATA la kuvunyika urafiki kati ya Wema wa Sepetu na Kajala wa Masanja.Wema alikuwa kimywa...Ila wapambe (hawa ndio maana wakaitwa NUKSI) ndio walikuwa waki UFYATUA kila kona kuanzia FB, TWITA,INSTA na hadi WASAPU....Sasa leo madamu kafunguka;