Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA NA KAJALA SASA BASI: WEMA SEPETU AFUNGUKA HUKO INSTAGRAM

Wema na Aunty Muda wote wa SAKATA la kuvunyika urafiki kati ya Wema wa Sepetu na Kajala wa Masanja.Wema alikuwa kimywa...Ila wapambe (hawa ndio maana wakaitwa NUKSI) ndio walikuwa waki UFYATUA kila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ - MDOGO MDOGO

Diamond Platnumz leo hii ameachia wimbo mpya ambao unamahadhi ya mchiriku flani hivi

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA HIZI ZINATATIZO GANI WAUNGWANA?!!

IN THE NAME OF INSTAGRAM!!! : Hehehe kuna balaa huko!!PICHA ZAIDI ENDELEA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFALME WA PORI AKIFANYA YAKE...KWA SEKUNDE 8 TU......SIKIA MLIO WAKE AKIFIKA...

Kama wewe haupendi kujifunza BAIOLOGI ishia hapa hapa!!! Daah Baada ya KU-TREND  huko YUTYUBU nimeona ngoja ni iilete huko wadau muione...Hapo ni Wazee wa nyika waki-pandana...Jamaa wameshuhudia live...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA NANDO WA BBA. SOMA HAPA.

MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kufunguka kuwa amekerwa na kitendo cha mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2013, Amir Khan Nando kujinadi kuwa aliwahi kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUH MWANA FA ANA HALI NGUMU HUKO TWITTER! UMEONA JAMAA HUYU ALIVYOMTUKANA????...

hii alitumiwaMwanaFA Duniani kuna vituko jamani khaaaa, cha kumuandikia mtoto wa mwenzio hivi ni nini? hata kama humpendi jamani maisha yenyewe mafupi haya hujui nani anatangulia ila mie watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PENY,JOKATE NA WOLPER WATOA SABABU ZILIZO WAFANYA KUACHWA NA DIAMOND,SOMA HAPA

Hadi hii leo Divas maarufu waliowahi kufunguka kiundani kuhusu kutoka na mwanamuziki huyu, na kwa nyakati tofauti kila mmoja wao alijaribu kufunguka kuhusu experience zao, pindi walipokuwa wanatoka na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII 20 WA BONGO MOVIE KUFARIKI MWEZI HUU, SOMA HAPA

Hamida Hassan na Gladness MallyaHUKU makovu ya maumivu ya kuondokewa mfululizo na mastaa wanne wa filamu za Kibongo katika kipindi cha mwezi mmoja yakiwa hayajapona nabii naye ameibuka na kuweka wazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VERA ACHANWA MBAYA HUKO TWITA: KAMA WEWE ULIPATA DIVISION 5 HII HAIKUHUSU AU...

Mara baada ya hivi karibuni alipofanyiwa INTAVYUU  kwenye kituo cha TV nchini Kenya ..Mwana dada VERA SIDIKA amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya watu kumshambulia kwenye mtandao wa TWITTER...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOT NEWS: MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA KWA...

Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Happy Kamili Pichani  amehukumiwa  kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma yake wakati alipokuwa akiirudisha nyuma Gari yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWALI KWA WANAUME! JE MNAWEZA VAA CHUPI ZA AINA HII???????

The Only Way Is Essex's stars, Bobby Norris (in red) and Harry Derbridge (in white) wore these mankinis or male thongs to the beach while on holiday in Marbella on Monday June 9th. The British reality...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADADA WA MJINI JE MNAWEZA VAA SURUALI HII NA MKAKATIZA MTAANI????

The reality star wore this severely distressed jeans which exposed her thighs during lunch with Scott Disick in the Hamptons yesterday. Would you rock this...?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASTARA AAMUA KUFATA NYAYO ZA JAFARAI. HII NDO BIASHARA ALIYOFUNGUA.

Wastara akiosha kari kwenye ufunguziMtangazaji wa kipindi cha action and cut Bond bin sinann akiosha gari na wastarabaadhi ya wana tea wastara wakiwa na kiongozi wao wastara kwenye picha ya pamojaEsha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA VERA SIDIKA KU-TREND SANA....RISPER FAITH AIBUKA NA HIZI SEXY PHOTOS...

Ulala....Ulalaa.....Huko Kenya ni Sheeedah!!! !!..Ukiamua KULA NGURUWE.. basi KULA aliyenona..!!ZICHEZI PICHA HIZO HAPA (Tafadhari Usipaniki)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA HII INATATIZO GANI WAUNGWANA?!!

Mapenzi ya Ujana...Hapo ilikuwa wakati Kanye West ameshinda AWARD....Wakati bado yupo na AmberROSENEXT

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: KITU KIDHANIWACHO KUWA NI BOMU KIMELIPUKA HUKO ZANZIBAR USIKU...

 Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar. Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMES FM (@TIMESFMTZ) YACHANGIA CHAMA CHA ALBINO TEMEKE SHILINGI MILIONI 3

100.5 Times Fm Radio imetoa kiasi cha shilingi milioni tatu kwa albino wa wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kama sehemu ya mchango wao kwa jamii hiyo yenye ulemavu wa ngozi inayokumbwa na changamoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA KWA MWANAIDI SALEHE ALIYEPATA AJALI YA MOTO UNAZIDI KUTOLEWA..SHUKRAN...

Mama Mzazi wa Kijina Mwanaidi Bi Jina akimpatia uji mtoto wake wakiwa katika wodi ya hospitali ya mnazi mmoja wakiendelea na Tiba baada ya kuhamishiwa hapo kutoka hospitali ya jeshi bububu, ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MS FAWWIE: MWANADADA CLASSIC AFRIKA MASHARIKI NZIMA!!!!...

Anaitwa Ms Fawwie kutoka Kenya, sijui ni 0.5 wa kutoka nchi gani. But ninachojua mimi ni mtu anaejishughurisha na FASHION (makeup&fashion guru Inventor of the phrase ).....Anajuana na mastaa wengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAAMBIWA KWA PICHA HIZI LAZIMA DAVIDO ATARUDI KWA X-GIRLFRIEND WAKE

Unaambiwa kwamba mwanamuziki kutoka Nigeria huenda akarudi tena kwa mpenzi wake wa zamani baada ya kuona picha za mrembo huyo ambaye sasa anaonekana kuwa mrembo zaidi ya kipindi yuko nae penzini....

View Article
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live