Rais Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani
Usher Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.Wasanii hao
watatumbuiza na pia kuzungumza na wasanii wa muziki na filamu nchini kwa
mujibu wake mwenyewe. Juzi wasanii na Rais Kikwete walikuwa Dodoma
katika uzinduzi wa video ya campaign ya Muungano.
CREDIT : SWAHILI PLANET