Mchumba wa Diamond, Wema Sepetu amezunguzmia taarifa zilizotolewa na baadhi ya mitandao kuwa ana ujauzito.
Wema amezikana taarifa leo hizo kupitia Instagram:
Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi wangu…