Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HILI HALIKUBALIKI: BAADA YA MAMA WEMA KUDHALILISHWA MTANDAONI (INSTAGRAM) ...WEMA ANG'AKA...

$
0
0
Mama Wema
Watu wasio na maadili (hawa bilashaka ni malezi mabaya) leo hii kwenye mtandao wa INSTAGRAM waliweka picha ya mama yake Wema Sepetu (IliyoEditiwa)..na kuanza kumshushia maneno yasio na ADABU...kiufupi hawa ni watu ambao mara nyingi wamekuwa wakimshushia  matusi  Wema Sepetu kwenye mitandao ya kijamii...Sasa leo bila kufikiri wameenda mbali zaidi na kumuhusisha mama yake kwenye mambo yao....Kitendo hiki hakikubaliki na chakukemewa kabisa...Kwani wazazi wetu  wengi hawajihusishi na maswala na ushabiki usiona maana wa kwenye mitando hii ya kijamii.....Wema Sepetu kupitia  huko huko INSTAGRAM  ameelza kusikitishwa kwake kwa mama yake kuingizwa kwenye ma BUFU yasio na maana.....kiufupi ameelezea kuumia sana leo hii  ukizingatia kwasasa amebaki na mama pekee.

SOMA HAPA ALICHOANDIKA

Sisi wa BLOGU hii tuna kupa pole sana Wema...na tunawomba wasomaji wetu kupinge hii tabia ambayo ni kinyume kabisa na maadili kwani wazazi wetu ni zaidi ya INTERNET..



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles