$ 0 0 Pata sinema kama mwanadada maarufu wa Bongo angetinga hiki kiwalo?? mmmmh kweli wa bongo nuksi angesemwa yeye na msidiria wake na magazetini juu lakini kwa Kim watu wanasifia tu, hii ndio Bongo hatupendani wenyewe lakini ni tambarareeee....