100.5 TIMES FM YAKICHANGIA KITUO CHA POLISI CHA KAWE VIFAA MBALIMBALI
Pichani: Mkurugenzi wa Times Fm Radio, Rehure Nyaulawa akimkabithi vifaa SSP Mponjilo Kituo cha radio cha 100.5 Times Fm, Juzi (June 21) kilitoa mchango wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukisaidia...
View ArticleHAWA NDIO WASANII WA KIKE WANAOLIWA URODA NA SERENGETI BOY
Mara nyingi tunaishia kusikia rumors tu, kuwa msanii fulani amemzidi umri mpenzi wake na mara nyingi mwisho wa siku rumors zinabaki rumors tu, hadi pale wawili watakapofunguka wenyewe juu ya suala...
View ArticleHUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIES ALIYEAMUA KUJICHORA TATOO YA MPENZI WAKE...
Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Akipiga stori na mwanahabari...
View ArticleINTAGRAM KIMENUKA:TEAM WEMA WASHIKANA UCHAWI, ACCOUNT MAARUFU KWA MIPASHO...
Kwa kile kinachoonekana ushabiki wa kupitiliza kwa wema Team mbali mbali zilizoanzishwa instagram kwa ajili ya kumshabikia Wema na Nyingine kuwananga wanao mchukia wema kwa sasa zimeingia katika...
View ArticlePICHA ZA MAGARI MAPYA YA KIFAHARI YA PSQUARE NA GHARAMA ZAKE
Peter Okoye wa P Square ameonesha magari mapya ya kifahari yaliyoingia hivi karibuni katika garage ya familia yao.Amepost katika Instagram picha kadhaa zinazoonesha magari hayo na kuandika maelezo...
View ArticleUNATAKA KUJUA KUHUSU MOSES OBUNDE MWANAFUNZI WA CBE DODOMA,
MOSESE OBUNDE NI MWANAFUNZI WA CHUO CHA BIASHARA CBE DODOMA, NI MMOJA KATI YA WANAFUNZI WENYE KIPAJI CHA KUIGIZA CHA HALI YA JUU, AMBAPO HIVI KARIBUNI BAADA YA KUKUTANA NA MR OBUNDE NA KUFAHAMU KUHUSU...
View ArticleMOVIE YA FROLA MBASHA NA MUMEWE YAENDELEA, SASA WAZAZI WAINGILIA KATI.
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Bongo Flora Mbasha. Kwa mujibu wa chanzo chetu, kikao hicho kiliitishwa na baba wa Mbasha kwa kushirikiana na ndugu wengine wa pande zote mbili.“Mbasha na mke wake,...
View ArticleTAZAMA VIDEO CLIP YA HARUSI FEKI: LULU NA JOTI
Kupitia mtando wa INSTAGRAM, Elizabeth Michael aka Lulu ameshare nasi hii video ya harusi yake na muigizaji mwenzaje JOTI......Kisha kuandika maneno haya "Ushawahi kuona Harusi ina wadhamini...
View ArticleHAMISSA MOBETO AMETOA PICHA HIZI MPYA.....HOT OR NOT?
Model anaetamba kwasasa hapa nchini....Hamisa Mobeto leo kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha mpya ambazo zimekuwa gumzo huko INSTAGRAM...ZITAZAME HAPA (ONLY MEN)
View ArticleBREAKING NEWS: MAJAMBAZI YAUA TENA MFANYABIASHARA NA KUPORA KIASI KIKUBWA CHA...
Habari za hivi zilizoufikia mtandao huu kutoka mkoani Geita ni kwamba mji wa Geita umegeuka uwanja wa mapambano kati ya majambazi wawili waliokuwa wanatumia pikipiki na askari polisi mjini...
View ArticleKIKONGWE AUAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA, MWALI WAKE...
Jinsi Bi Rebeka alivyopigwa shoka kichwani hadi ubongo kutoka njeBibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani...
View ArticleDUH…HII NI NOUMA, HUYU NI MWANAMKE KWELI? CHEKI PICHA ZAKE ..HARAFU NIAMBIE!!!!!
Former Super Falcons player, Chichi Igbo has shared a series of photos on her Instagram page. From the photos, it is quite hard to determine if she is actually a woman, as her manly pictures suggests...
View ArticleMAMBO YAZIDI KUMUWIA MAGUMU KAJALA, SASA AAMUA KUIKIMBIA BONGO.
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha.Akizungumza na...
View ArticlePATA PICHA HII NGUO ANGEVAA WEMA SEPETU, UNAFIKIRI MAGAZETI YANGEANDIKA NN???
Pata sinema kama mwanadada maarufu wa Bongo angetinga hiki kiwalo?? mmmmh kweli wa bongo nuksi angesemwa yeye na msidiria wake na magazetini juu lakini kwa Kim watu wanasifia tu, hii ndio Bongo...
View ArticleLULU KATIKA BIFU JIPYA NA WASANII HAWA WA HIPHOP! SOMA FULL STORY HAPA
Baada ya msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael kuwakana waimbaji wa muziki wa kizazi kipya wanaounda kundi lijulikanalo kwa jina la mapacha kuwakana kufanyanao wimbo unaojulikana kwa jina la...
View ArticleBABY MADAHA LAZIMA ATAKUA ANAVUTA BANGI AISEE, HIKI NDO ANACHOTAMANI KUA!!!!
Baby Madaha mwigizaji wa filamu Swahiliwood BABY Madaha mwigizaji wa kike wa filamu Bongo amejinadi kuwa yeye ndio atakuwa Rais wa kwanza wa kike Tanzania, na ili kufanikisha ndoto yake hiyo yupo...
View ArticleLUIS SUAREZ WA URUGUAY ANGATA TENA ANGALIA PICHA NA VIDEO ALIVYOMNG'ATA...
Suarez leo ametafuna tena tukio hilo lilitokea kwenye mechi baina ya timu ya Uruguay ambayo anachezea yeye ilipopambana na Italy. picha zinaonesha Suarez akiwa anamtafuna beki wa Timu ya italy Giorgio...
View ArticleMAUAJI YA KUTISHA ... KIKONGWE AUAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI...
Jinsi Bi Rebeka alivyopigwa shoka kichwani hadi ubongo kutoka nje Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani...
View Article