#TEAM WEMA: Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, mwanadada WEMA wa SEPETU ameshea nasi video hii...akiwa ndani ya gari anaimba wimbo ambao kimsingi ni ujumbe kwa wale wao mchukia bila sababu....lalini kutokana na malezi ya mama yake ndiomana hadi leo amesimama na anazidi ku shine....hehehhee!!!
↧