Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VERA SIDIKA AFUNGUKA KUHUSU S3X TAPE IANAYOSEMEKANA IMEVUJA!!!!

Hii Stori ime Trend sana huko Kenya...kuwa  video ya mapenzi ya mwanadada VERA imevuja!!!...Sasa SOMA UKWELI HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: JACKLINE WOLPER AKIWA KIAFRIKA ZAIDI.....HOT OR NOT?

NEXT

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

U MUST WATCH THIS:....…HADI KUMUHUSISHA NA MAMA YAKE….WEMA ATOKA NA UJUMBE HUU

#TEAM WEMA: Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, mwanadada WEMA wa SEPETU ameshea nasi video hii...akiwa ndani ya gari anaimba wimbo ambao kimsingi  ni ujumbe kwa wale wao mchukia bila sababu....lalini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASI UNAAMBIWA HII NI PICHA YA KWANZA KUTOKA KWENYE VIDEO MPYA YA DIAMOND,...

Hii ni picha ya kwanza kutoka kwenye video ya mdogomdogo ya Diamond..unapata picha gani juu ya hii video?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA ASHINDWA KUJIZUIA KWA VANESA MDEE..AMNYOOSHEA MIKONO.

Vanessa Mdee akiwa anatikisa media mbali mbali east africa kwa kuanza na video yake mpya ya “Come Over” iliyokuwa gumzo mtaani, Na hivi sasa kama ilikuwa haitoshi kuachia tena Single yake mpya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUH! FROLA MBASHA NOMA SANA, AKOMBA KILA KITU NYUMBANI KWAKE NA KUTOKOMEA...

Emmanuel Mbasha (32) Alipoongea na global TV alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani...

View Article

DIAMOND SASA KUIMBA TAARAB, CHEKI VIDEO HAPA

Diamond Platnumz leo alikua ni mgeni katika kituo cha redio cha Clouds FM katika kipindi cha Leo Tena. Katika  Mahojiano yake Diamond Platnumz alizungumzia muziki wa Taarabu ambao pia anaweza kuuimba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNYAMA : MWANAFUNZI WA CHUO ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA MWIZI

maskini:Mwanafunzi wa Chuo Anusurika Kifo Baada ya Kuchomwa Moto Akidhaniwa ni Mwizi Imagine guys kuna this guy mtanashati anasoma chuo cha ruaha a.k.a ruco huku iringa. Alikuwa sheria mwaka wa nne....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW AUDIO | JACO BEATS- USHINDWE WEWE | DOWNLOAD

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU MICHAEL, TUMUAMINI NANI?......KWA HILI NAKUONA HAUPO SERIOUS

Alisema  eti  aachwe  kwanza, eti  baada  ya  ule  mkasa  hataki  kabisa  kusikia  habari  za  mapenzi.Amini  usiamini , haukupita  muda  mrefu  skendo  za  mapenzi  zikaanza  kuvuma  tena.Tukaanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIUJIZA: MWANAMKE AJIFUNGUA BAADA YA KUWA MJAMZITO KWA MIAKA 14

Mwanamke wa Nigeria aliyejitambulisha kwa jina la Mercy James amesimulia tukio la ajabu la kujifungua salama mtoto wa kike baada ya kuwa mjamzito kwa kipindi cha miaka 14. Mtoto aliyeamua kumuita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO NGUO ATAKAYOVAA DIAMOND KWENYE RED CARPET YA BET AWARDS

BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye red carpet itakayo tumiwa na wasanii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA AFYA YA JACK PATICK BADO TETE GEREZANI…ASHINDWA KUHUDHURIA MAHAKAMANI...

UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA UTATRAAAA ZA MSANII CINDY RULZ NA AMA THE MAKER ZAVUJA YADAIWA...

Katika pitapita zetu camera ya Bongoclan imefanikiwa kupata picha za utata za msanii Cindy Rulz akiwa na Ama the maker ambaye pia ni msanii. Tukio hilo lilitokea wik iliyoisha katika club moja ya usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA SIKU...Mr & Mrs TMT

HOT or NOT?MORE PHOTOS

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKI HII PICHA YA PROFESSOR JAY AKIWA ENZI ZAKE ZA ZAMANI

Hii  ni  Picha  ya Professor Jay ambayo  kaishare ikimuonyesha yupo na mdogo wake enzi zao za zamani. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA SKENDO YA PICHA ZA UTUPU, MALI ZA KOMBA KUPIGWA MNADA

ZIMESALIA siku tano tu, kuanzia Jumatano wiki hii, kabla ya baadhi ya mali za Mbunge maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kapteni John Komba, kupigwa mnada ili kufidia deni kubwa alilonalo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUH, MSANII BARNABA KWA MARA YA KWANZA WAJA NA HILI WAZO. NOMA SANA

Barnaba anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye ni mpenzi na mama mtoto wa wa msanii Barnaba” Sina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI YA DIAMOND KUHUSU TUHUMA ZA WIZI WA NYIMBO YA MDOGOMDOGO NA NYINGINE,...

Mwanamuziki Diamond amefunguka kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kuwa aliwaibia idea au nyimbo zao na kuzifanya zake.Ameeleza kuwa malalamiko yao hayana ukweli kwa kuwa kuna maneno  ambayo yamezoeleka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FATAKI ZAZUA TAFRANI UBALOZI WA MAREKANI KWA HISIA ZA UVAMIZI, TAZAMA HAPA

Mioyo ya watanzania bado haijasahau tukio baya la shambulizi la bomu katika ubalozi wa Marekani. Hii ndio sababu iliyowafanya wakazi wa Morocco na wapita njia kupasuka moyo baada ya kusikia milio...

View Article
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live