Habari Mkuu!!
Hongera kwa kazi, pole kwa uchovu. Natumaini yakuwa wewe ni mzima wa afya, kama mdau wa muziki naomba sapoti yenu ya kuusambaza wimbo huu uitwao STRESS FREE kutoka kwa mwanadada LIL STIGGAR feat ANNO MELODY na kuucheza kama utakuwa umekidhi kiwango baada ya kuusikiliza na kuufanyia mchanganuo.
Pia maoni yao ni muhimu sana kuhusu wimbo huu kwenye kasoro na pongezi zako ni njema sana katika kupush muziki wa Bongo Fleva.
ARTISTs:- LIL STIGGAR feat ANNO MELODY
TRACK NAME:- STRESS FREE
STUDIO:- MASHADA INC PRODUCTION
PRODUCER:- DAYO MUSIC
Asanteni.
DJ Chris Bee.
Bomba FM 104.OMHz.
Mbeya Tanzania.Phone:- 0718 000 262