
Ushawahi kujiuliza katika maisha yako toka kumjua msanii huyu, kwa nini hujawahi kuona akivua miwani yake meusi, msanii huyu siku zote hata akiwa stejini inasemekana katika show hata za usiku, hakuna mtu aliyewahi kuona akivua miwani yake hiyo meusi, Nameless ameamua kufichua siri ya utata huo na kufunguka kuwa kumbe hayo miwani tunayomuona amevaa siku zote, siyo miwani ya jua kama wasanii wengi wanavyopenda kuvyaa kuondoa aibu, ni miwani ya macho tu, sema ameamua iwe staili yake ya kipeke kui-design miwani hiyo kuonekana kama ya kuzuia jua vile.
