Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WOLPER ALIA KUTOPATA MTOTO.....MADAKTARI WAMWAMBIA AMWOMBE MUNGU, BIBI YAKE...

Super Star kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe (26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto.  Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wake wa karibu, staa huyo amekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND:SASA NAOA RASMI, HARUSI NAWEZA IFANYIA UWANJA WA TAIFA KILA SHABIKI...

Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UNAHISI USHAWAHI KUONA VIDEO CHAFU, BASI HUJAWAHI KUKUTANA NA HII.

Kuna video ambazo kweli zingekuwa zinatengenezwa hapa kwetu tzee, ungekuta serikali imeshazifungia, hii ni kutokana na maadili ya kwenye video hiyo, ila hii hapa ni zaidi ya maadili, na kama unahisi...

View Article

CHEKI VIDEO MPYA YA MICHAEL JACKSON - A PLACE WITH NO NAME

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI SHIDA: MSICHANA ‘AKITWERK’ KWENYE WIMBO WA DIAMOND ‘KIZAIZAI’ (VIDEO)....

Paki gari, weka wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’, mpe camera rafiki yako arekodi, anza kukata viuno!!! Hicho ndicho kilichofanyika kwenye video hii unayokwenda kuishuhudia.Hutaona sura yake lakini utaenjoy....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU : MKE WA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI BAADA YA UJAUZITO WA MIEZI 9 HUKO...

Wazee wetu walishawahi kuneno kwamba; Ukishangaa ya Mussa utayaona ya filauni! Ndivyo unavyoweza kuanza kusema kuhusiana na tukio la kushangaza lililotokea Kijiji cha Udindila Wilaya ya Bagamoyo mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MKUU MIZENGO PINDA AVUNJA UKIMYA NA KUTANGAZA KUGOMBEA URAISI 2015

Waziri wa Mkuu Mizengo Pinda, amevunja ukimya na kuamua kutangaza nia yake ya kutaka kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015.Pinda alitangaza nia hiyo juzi usiku Ikulu ndogo ya Mwanza jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA PARTY ILIYOANDALIWA NA DIVA WA CLOUDS FM...

  Juzi ndani ya Club Maisha dar es salaam, kulikua na Party kubwa iliyoandaliwa na Mtangazaji wa Kituo cha Clouds Fm Ala za Roho, Party hii ilihudhuriwa na wajanja wengi wa Town na burudani ilitolewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASOGANGE AWATUKANA WANAUME WANAOMPELEKEA HABARI ZAKE KWA JAMAA YAKE WA SAUZI

Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE anakifanya hapa mjini kumfikia jamaa yake  huko SAUZI kupitia jamaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INADAIWA BAADA YA KAJALA KUTEMANA NA PETIT MAN KAHAMIA KWA MSANII HUYU WA...

Hii ni post ya Quick Rocka wiki nne zilizopita ambapo aliandika >>> #LatePost…Paula’s graduation. @new_kajala @lamataleah Kama zitakua ni stori za kweli inaweza ikawa ni uhusiano mwingine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUACHIA VIDEO YAKE MPYA, NAMELESS AFICHUA SIRI ITAKAYOKUACHA MDOMO...

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii maarufu tena mkongwe aliyewahi ku-make headlines na single yake ya sinzia, nameless ameamua kuvunja ukimya kwa mara nyingine kwa kuachia video yake mpya,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"SYLVESTER STALLONE (RAMBO) AFARIKI BAADA YA AJALI MBAYA YA GARI" UVUMI...

Muigizaji wa the  "Expendables 3" Sylvester Stallone amekuwa mmoja wa mastaa wa Hollywood ambao wamekuwa ni waathirika wa kuzushiwa kifo. Tetesi zilizosambaa kama moto unaounguza pori/ msitu hasa hasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDO MAMBO USIYOYAFAHAMU KUMHUSU HAMISA MOBETO, SOMA HAPA

Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la  Miss XXL...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NUH MZIWANDA WA SHILOLE ALIKOPI KWA NICK CANNON NA MARIAH CAREY KUWEKA...

Mwimbaji wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda aliwashitua wengi baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ‘Shilole’, tattoo ambayo haifutiki daima. Kitu ambacho kiliwashitua wengi.“Mimi nimefanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILE VIDEO YA NEY INAYOHUSISHWA NA FREEMASON KWA PICHA ZAKE ZA AJABU, IMETOKA....

Video Mpya ya Nay wa Mitego iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka na Picha za Ajabu zilizotoka wakati wa uchukuaji wa Video hiyo, Itazame hapa Chini alafu uniambie Kama umeikubali ama Laa!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NI UMAARUFU, PESA AU MAPENZI YA KWELI YANAYOWAFANYA WADADA WENGI...

Ni kawaida ya dada zetu hapa Tz,siyo wote ila ni baadhi yao kujigonga kwa mtu yeyote pale apatapo umaarufu,haijalishi alikuwa handsome au mtu wa kawaida,ni pale tu anapoanza kupata jina ndio unaona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDO YALIYOJIRI KATIKA KUMTAFUTA SUPERNYOTA SERENGETI FIESTA MOSHI

Siamerary Tarimno 'Ice baby' ambaye aliibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kumtafuta  Super Nyota Diva's wa Serengeti fiesta, akiimba katika shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Aventure...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POMBE SIO CHAI JAMAA BIA MBILI TU KAANZA KUVUA NGUO NA KUWEKA MAPOZI YA...

Pombe usipoweza kuicontrol basi matokeo yake ita Control wewe ! Huyu Jamaa Alinawa na Kamera za Udaku Specially Katika Baa Moja Maarufu Mitaa ya Sinza , Inasemekana Alikuwa na Wenzake wanakunywa Baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VAZI LA LULU MICHAEL LAWATESA WANAUME WAPENDA SKETI

Vazi alilokuwa amevaa Lulu Michael katika fainali za Shindano la TMT lilizua balaa kubwa kwa wanaume wapenda sketi baada ya vazi hilo kuanika hadharani maungo nyeti ya msanii huyo.Katika shindano hilo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LADY JAY DEE AKANUSHA TUHUMA ZA KUTOKA KIMAPENZI NA ‘SERENGETI BOY’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’.Kwenye...

View Article
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live