$ 0 0 Mwana Bongo Fleva asiejulikana anafanya music wa aina gani mpaka Ney wa Mitego amefunguka kwann anapenda kufanya music wa kudiss. Akizungumza na Zenj Fm Radio Ney alisema.