Huu ndo ushauri aliopewa mkubwa Fella kuhusu kuwalinda yamoto band na wamama...
kazi nzuri sana Mkubwa Felaaaa, ila muombe Mungu sana hawa watoto wasihadaike na mashangingi ya mjnii maana watakumalizia watoto, wamama wakianza yao tu, utaona vijana wako wamebadilika mara viburi,...
View ArticleDownload Na Sikiliza Hapa Wimbo Mpya Wa Hammer Q-Kibakuli
Hii kazi mpya ya Hammer Q-Kibakuli, imetoka usikuwa wa 22/9/2014. Bonyea Play kusikiliza.
View ArticleMwanadada Dayna Nyange afunguka umuhimu wa video
Mwanamusic wa Bongo Dayna Nyange amefunguka hukusiana na umuhimu wa video kuliko audio katika music wa Bongo Fleva.<iframe src="http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=gw0inympojy8" scrolling="no"...
View ArticleBaada ya kuteuliwa kuwa Balozi, hiki ndo alichokisema Banana Zorro
Baada ya kuteuliwa kuwa balozi wa afya ya uzazi kwa wanawake Banana Zorro azungumzia majukumu yake na katika kazi yake iyo
View ArticleZenj Flavour:Ngoma mpya toka kwa Man Tuzzo,
Msanii wa music wa kizazi kipya kutoka Zanzibar Man Tuzzo ameachia ngoma yake mpya inayoitwa Tawile iliofanyika katika studio za Island kisiwani Zanzibar.
View ArticleHiki ndicho alichokisema Ommy Dimpoz kuhusiana na Bongo Fleva?
Mwana bongo fleva Ommy Dimpo kutoka kambi ya Pozi kwa Pozi kupitia kipindi cha Ze Crush cha Zenj Fm Radio amezungumzia kitu ambacho Bongo Fleva imemfanyia,
View ArticleSoma hapa alichosema Bab Tale Kuhusu Tetesi Za Tunda Man Kusimamishwa Kazi...
Manager wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi Tiptop na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila msanii ana mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi...
View ArticleForbes watoa list ya wasanii wa Hip Hop walioingiza mkwanja mrefu zaidi kwa...
Hii ni list mpya ya wasanii wa Hip Hop waliotengeneza pesa nyingi tangu June mwaka jana hadi June 2014. Na hii ndo list ya wasanii 20 huku Dr Dre akiwa namba moja. 1. Dr. Dre - $620 million 2. Jay Z...
View ArticleWema Sepetu:Wanaoniponda Wengi Wao Wanatumia Tecno na Huawei
Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog...
View ArticleWema Sepetu Afanya Kufuru Uzinduzi Yamoto. Amwaga Mihela Hatareee!
“MADAM…Madam…Madam…” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi Isiyaka ‘Dogo Aslay’. Tukio hilo...
View ArticleNey wa Mitego asema amewahi kutumiwa wachungaji wamtishie kifo.
Mwana Bongo Fleva asiejulikana anafanya music wa aina gani mpaka Ney wa Mitego amefunguka kwann anapenda kufanya music wa kudiss. Akizungumza na Zenj Fm Radio Ney alisema.
View ArticleWema Sepetu Afunguka Sana: Awaponda Watumiaji Wa Tecno Na Huawei!
Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful onyinye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don’t have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog...
View ArticleLulu Tisha Sana. Sasa Atembea na Bilionea Lililompangishia Jumba Laa Kifahari!
Madai mazito ya kushtua mtaani yanasema kwamba staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mambo yake kwa sasa yapo juu ya mstari baada ya bilionea kutoka jijini Arusha (jina tunalihifadhi...
View ArticleUmeona Jumba la kifahari Diamond alilomjengea mama yake??? CHeki hapa
Leo kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond ametupia picha ya ile nyumba aliyosema anamjengea mama yake. Katika picha hiyo aliambatanisha na maelezo haya "Had to visit mama Chibu's Village...
View ArticleDiamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki...
MIMI NANUKUU TU: Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa...
View ArticleChris Brown akanusha kumuimbia Rihanna kwenye The X Album.
Chris Brown amekanusha uvumi uliopo kuwa Album yake ya X ameifanya kwa ajiri ya Rihanna, akizungumza na ET Chris alipoulizwa juu ya track ya "Drunk Texting," ambayo ina mashairi haya "If by chance...
View ArticleDiamond noma sana, ampa zawadi Wema gari hii ya kifahari. Icheki hapa.
Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha...
View ArticleUsher atangaza ‘The UR Experience’ Tour itakayofanyika Ulaya mwaka 2015
Ikiwa ni miaka minne tangu afanye tour ya mwisho nje ya U.S.A Mwanamusic Usher Raymond ametangaza kuwa mwaka 2015 atafanya tour kubwa barani Ulaya. Akizungumzia tour iyo inayoitwa The UR Experience...
View ArticleH Baba:Hakuna mtu mkali zaidi yangu kwenye Stage East Africa
H baba mwanamusic mwenye uwezo mkubwa wa kucheza na stage amesema hana mpinzani yoyote katika Stage kwa ukanda mzima wa Afrika Mashariki. H Baba amefunguka hayo kupitia kipindi cha Ze Crush cha Zenj...
View ArticleUnajua alichokisema Shilole kuhusiana na Music wake?
Mwanamusic wa Bongo Fleva mrembo toka Igunga Shishi Baby amefunguka juu ya uwepo wake juu kwenye music na nini siri ya mafanikio yake.Akizungumza na Zenj fm Radio Shilole alisema hayo yote.
View Article