Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Umeona Jumba la kifahari Diamond alilomjengea mama yake??? CHeki hapa

$
0
0
http://1.bp.blogspot.com/-8JeX2gN0nvE/Uum44Aov42I/AAAAAAAADFY/lpBhQh0GgXA/s1600/IMG_1155.JPGLeo kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond ametupia picha ya ile nyumba aliyosema anamjengea mama yake. Katika picha hiyo aliambatanisha na maelezo haya "Had to visit mama Chibu's Village today.."Nyumba hiyo inaonekana ya kifahari hasa ukiangalia muundo na mabati yaliyotumika kujenga nyumba huyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles