Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Nuh Mziwanda na Shilole wana #Breaktheinternet na hii picha,Vifua wazi

$
0
0
shilolee 3
Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby"wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi".
Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki wao huku wengine wakifurahia na wengine kuonesha kukerwa na kitendo hicho

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles