Picha,Wasanii kumi na tatu waliofanya Diamond Platnumz atamani kufanya muziki.
Msanii Diamond Platnumz ametaja wasanii waliomfanya atamani kuwa msanii na mwanamuziki. Walichukua nafasi kubwa kwenye ndoto zake.
View ArticleVANESSA MDEE AZIDI KUMCHANGANYA JUX, TAZAMA PICHA ZAO WAKILA BATA AFRIKA KUSINI
Vanessa Mdee na Jux wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kufanya video ambayo hata hivyo hawajasema ni ya wimbo gani na kwa mujibu wa picha wanazopost kwenye mitandao ya kijamii, wawili hao...
View ArticlePICHA 8: HILI NDIO GARI LA MZEE YUSSUF LILILOZUA PONGEZI NA VIJEMBE MITANDAONI
Wakati wa kufungua mwaka, mfalme wa taarab Mzee Yussuf akaamua kubadili usafiri wake kwa kuachana na Toyota Ipsum na kununua Toyota Harrier (pichani juu) yenye thamani ya milioni 35.Gari hilo bab kubwa...
View ArticleDIAMOND ATUPIWA JINI, LAMPATA MAMA'KE. SOMA MKASA MZIMA HAPA
Musa mateja/Ijumaa wikienda GPLImevuja! Kuna madai kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametupiwa jini lakini likamkosa na kumpata mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’ kisha...
View ArticleHeineken unveils new business style sports Lounge
Come in for the grand tour: Mr. Mlatie Assey (centre left) who is the Managing director seems to say during the official launch of Club 777 in Kawe, Dar es Salaam. Centre right is Heineken Tanzania’s...
View ArticleNuh Mziwanda na Shilole wana #Breaktheinternet na hii picha,Vifua wazi
Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby"wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi". Picha hii imeleta mtazamo tofauti...
View ArticleBarua nzito kwa Wolper ikimshauri aachane na tabia ya kuwezeshwa kiuchumi na...
Muigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper.KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku.Nilisikia siku hizi...
View ArticlePRODUCER WA XO YA JOH MAKINI “SAPPY” AFUNGUKA USIYOYAJUA KUHUSU WEUSI
Producer Sappy ndiye Producer ambaye aliproduce ngoma Namba Moja kwenye Chart za 20 Bora za Mambo Jambo Radio Arusha kwa wiki iliyopita XO ya JOH MAKINI.Huyu ni kijana wa Kitanzania ambaye amejipatia...
View ArticleMsanii wa Bongo Movies Aibuka na Kudai Ana Mimba ya Marehemu MEZ B
MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amefunguka kuwa kifo cha staa wa Bongo Fleva, Moses Mshagama ‘Mez B’ ni pigo kubwa sana kwake kwani marehemu alikuwa ni mpenzi wake na alikuwa...
View ArticleDiamond Apondwa Kusafiri na Kundi Kubwa la Watu Kwenye Show ama Safari zake...
Blogger Mmoja Maarufu Amemshukia na Kumshauri Diamond Kuhusu Kusafiri na Kundi kubwa la watu wasiokuwa na Ulazima Pale anapoenda kufanya show ama kustarehe .. Ameandika hivi :"Anyways,wewe kama...
View ArticleDemu Kutoka Kenya TIARA Anayemtaka Kimapenzi Diamond Aingizwa Mkenge na...
Demu wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake na kumtumia Video na Picha za mitego Diamond kwa Kupitia Udaku Special Blog Ametuhabarisha kuwa baada ya Video na picha zake...
View ArticleZamaradi aibua skendo kubwa inayomhusu JB wa Bongo Movie, ajiabisha yeye na...
Msanii anayefanya vizuri kunako bongo movie, Jacob Steven maarufu kama JB, hivi karibuni amekwaa scandal mpya ambayo imemshushia HESHIMA kama sio kumpunguzia credit ndani ya tasnia hiyo. Msanii huyo...
View ArticleLicha ya Kumchapa Makofi Mpenzi Wake Shilole Atoa Ahadi ya Kumzalia Nuhu...
Shilole amedai kuwa mpango wake ni kumzalia mchumba wake Nuh Mziwanda watoto wawili. Muimbaji huyo mwenye watoto wawili wa kike amesema hayo wakati akiongea kwenye kipindi cha The Mboni...
View ArticleTEAM ZARI WALIPA MAPIGO HAYA SASA PICHA ZA WEMA SEPETU ZA KURUDIA NGUO ZAVUJA
duuh mji umelipuka sasa haya habari ya mujini siku hizi ni team wema vs team zari hivi all about east african countries yaani sasa hivi ni shida hizo team mbili zimekuwa zikijibishanakama karaga au...
View ArticleBreaking News: Chid Benzi Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Miwili Jela au Kulipa...
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro Maarufu kama (Chid Benzi) amehukumiwa kifungo cha miaka mwili jela au kulipa faini ya shingili laki tisa bada ya...
View ArticleMh Temba Kutoka TMK Wanaume Apandishwa Mahakamani kwa Kutishia Kuua
Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Amani James aka Mh Temba jana amefikishwa katika mahakama ya mwanzo ya Temeke jijini Dar es salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua kwa kisu kutokana na wivu...
View ArticleLulu Ayashukia Magazeti ya Udaku, VISA na LETE MAMBO
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo ameamua kuwapa makavu laivu magazeti hayo kwa kile ambacho Lulu anadai wamekuwa wakimbandika kwenye kurasa zao ya mbele kila leo kwa stori...
View ArticlePicha ya Mpenzi wa Diamond , Zari akioga bafuni yazua gumzo mtandaoni
Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa...
View ArticleHaya wakaka je mnaweza vaa sweta hili alilovaa Kanye West na mkatoka nalo...
The singer/designer pictured with his wife in this ripped and ruffled sweater that looked like ants had had a go at it, at Abbey Road Studio in London this afternoon.
View Article