Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye
nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi
juu ya hizo tuhuma
Lakini baada ya hapo sikusikia tena kuhusu hilo jambo hususan baada ya huyo binti kuachia taji lake.Au ndo yaleyale mambo ya 'upepo' na ulishapita huo na watu (Watanzania) kama ilivyo ada yetu tushasahau kabisa.