Nay wa Mitego Amfumania Mchumba Wake Siwema Kitandani na Kiserengeti Boy..
KABAANG! Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amedaiwa kumfumania ‘laivu’ mchumba wake Siwema akiwa kitandani na ‘serengeti boy’ wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara...
View ArticlePicha ya Siku..Zitto Kabwe na Halima Mdee Katika Pozi la Malavidavi yazua...
Hii Picha Inaongea Mengi Sana Sina Cha kusema zaidi ya Kusema Wamependeza...Je wewe Unaonaje wanafaa kuwa Pamoja?
View ArticleDiamond Platnumz Aamua Kuonyesha Mjengo Wake Ulipofikia Baada ya Watu...
Baada ya Watu Kuchonga Kuhusu Nyumba ya Diamond kuwa amesimama kujenga huku wengine wakisema amezidiwa na Jux , Diamond Ameamua Kuonyesha Mjengo wake ......
View ArticleMsimu wa Kwanza wa KTMA wazinduliwa
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MSIMU WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA) 2015 WAZINDULIWA RASMI LEO. Dar es salaam 23, 2015. Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushirikiana na Kilimanjaro...
View ArticleNuhu Mziwanda Afunguka Makubwa Kuhusu Kupigwa na Shilole Pia Kutokujua Lugha...
Shilole na Nuhu MziwandaKwa mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ...Nuhu Mziwanda...
View ArticleKuanguka kwa ukuta huu wa nyumba ya Diamond wahusishwa na ushirikina.
Siku chache zilizopita Diamond aliamua kuweka picha za nyumba yake mpya aliyohamia na wengi walimpongeza kwa kujenga nyumba ya kifahari kama hiyo. Mpya zilizotufikia leo ni kuhusu kuanguka kwa ukuta wa...
View ArticleWivu wa mchumba wa Linah kidogo usababishe linah akose dili hili la milioni 250
MREMBO anayekimbiza na ngoma ya Ulithemba, Esterlina Sanga ‘Linah’, juzikati alifunguka kwamba, wivu wa mchumba wake Nangari Kombo ‘Nanga’, nusura umkoseshe mamilioni ya fedha alizopewa kwenye...
View ArticleNay afunguka mara ya kwanza kuhusu ishu ya kulea mtoto asie wake. Asema haya
KUFUATIA sintofahamu kati ya wapenzi wawili, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na Siwema Edson juu ya mtoto wao mwenye umri wa miezi mitatu, mwanaume huyo amesema yupo...
View ArticleJanga la kutopata mimba lamsumbua Wema Sepetu, sasa anahaha kutafuta dawa.
POLE sana! Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba....
View ArticleTID atakwenda jela siku si nyingi, sasa ana kesi 2 za kupiga watu polisi.
PEPO la ugomvi linazidi kumuandama staa wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’, baada ya kusakwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumjeruhi mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, msanii huyo ametengeneza kicha...
View ArticleZari the bosslady vs Chaggabarbie Muke ya Mganda....Hali si Shwari ,...
Kumekucha instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan,mie sijui nani mchokozi ila...
View Article'Jokate Anatutia Aibu Sana' Wanakwaya Wenzake Waja Juu, Picha za Nusu Utupu...
Jokate Ile skendo ya kupiga picha za nusu utupu na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii huku midume ikijirushia na kujifaidia kwa macho, ukijumlisha aibu mpya ya kukata mauno mbele ya wanaume, staa...
View ArticleSababu 10 za Kuifanya CCM iendelee Kutawala milele na ACT Kuwa chama kikuu...
Bila shaka mnajua fika kwenye uchaguzi ujao october CCM itaendelea kutawala kama kawaida na hii ni kutokana na sababu nyingi tuu ..leo nitaeleza tano tuu na pia nitaeleza sababu tano zitakacho kifanya...
View ArticleHawa Ndio Mastaa Hodari Kuficha Mimba Walio Jifungua Kimya Kimya Bila Mtu Kujua
Odama Bongo Movies akiwa na Mtoto wake Kupata mimba ni jambo la heri na heshima kwa mwanamke. Mwanamke anaposhika mimba hujiona amekamilika lakini yule ambaye siku zinakwenda lakini kila akitega...
View ArticleSakata la Sitti Mtemvu Kudanganya Umri Miss Tanzania Limeishia Wapi ? Je ni...
Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi juu ya hizo tuhuma Lakini baada ya hapo sikusikia tena kuhusu...
View ArticleTanzia: Mwanzilishi na Bosi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge afariki...
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya jana imepata pigo baada ya muasisi wa kundi la muziki la tiptop Abdul TaleTale (Abdul Bonge) kufariki jioni ya jana jumamosi Abdul amefikwa na mauti alipokuwa...
View ArticleHatimaye klyn afungishwa ndoa na reginald mengi nchini Ufaransa katika jiji...
hayawihayawi sasa yanekuwa as we know yakuwa wawili hawa safari yao imekuwa ya mda mrefu, tulianza kuona klyn akipata uja uzito, then kujifungua na kuvishwa pete siku ya birthday yake huko dubai,...
View Article