
Wema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.
Wema Sepetu akiwa na mama yake
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe:
Nina
wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport
kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni
yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti
maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame
wetu? Naomba mnipe jibu. wazo langu.
Naye meneja wake, Martin Kadinda alipost Instagram picha ya Wema akiwa na nguo za CCM na kuandika: Mbele Kwa Mbele…. #JanaIlikuwaNdotoLeoNimaamuzi #BeTheVoice #inawezekana #2015walktoremmember