Wolper Ampongeza Aunty kwa Kuwaacha Matajiri na Kufuata Kiuno
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amefunguka na kumpogeza staa mwenzake Aunt Ezekiel ambaye amezaa na mcheza dansi, Moses Iyobo kwa kuamua kuwaacha matariji na kuamua kuzaa na mcheza dansi huyo....
View ArticleInspekta Haroon: Nataka Kuwa Mchekeshaji
UNALIKUMBUKA kundi la Gangwe Mobb, hapo lazima utamtaja Haruna Kaena ‘Insepkta Haroun’ na Luten Kalama, wawili hao baada ya kutengana kila mmoja akawa anafanya kazi binafsi lakini sasa Inspekta Haroun...
View ArticleKAJALA: Simruhusu mwanangu Paula awe na Simu
Kajala amesema hadi sasa hamruhusu mwanae Paula kumiliki simu ya mkononi. Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale...
View ArticleTUSKER YAITANGAZA “NEW JAMBO BAA” KAMA MSHINDI WA TATU WA SHINDANO LA...
Afisa mauzo wa SBL, eneo la manzese – Mabibo, Bi. Anna Msomba (katikati) na Gadner G Habashi (kulia) wakimkabidhi, Mercy Lupindu zawadi ya fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya “New Jambo”...
View ArticleBifu la Lulu na Husna Lapamba Moto
Lile bifu lililowahi kutokea kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Video queen maarufu hapa Bongo Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo Lulu ameibuka hadharani na kumtaka...
View ArticleSnura Akwepa ‘Viroba’ Stejini
KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, alijikuta akirushiwa pombe zilizokuwa katika vifuko vidogo maarufu viroba akiwa jukwaani kama njia ya kumshangilia kwa uchezaji...
View ArticleNuh Mziwanda Amkana Msichana Aliyedai Kuwa na Mimba Yake
Nuh Mziwanda amefunguka baada ya msichana Rose John kudai kuwa ana ujauzito wa miezi miwili wa msanii huyo. Msichana huyo alizungumza jana kupitia Uheard na Soud Brown ambapo alisema kuwa amekuwa na...
View ArticleWema Sepetu Awashukia Waandaaji wa Instagram Party, Kisa Malipo ya Mzee Majuto
Staa wa Bongo Movies Wema Sepetu ameamaua kuwachana wazi wazi waandaaji wa Instagram Party kwa kitendo chao cha kutomlipa pesa hadi sasa hivi staa mwenzake Mzee Majuto.Waandaaji wa Instagram party...
View ArticleDogo Aslay: Nitakupwelepweta Hajaimbiwa Wema Sepetu
Mwanamuziki Aslay Isihaka kutoka katika kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi kuwa anasumbuliwa sana na watoto wa kike ndiyo maana ameamua kuweka mahusiano yake wazi, Aslay alifunguka hayo...
View ArticleAFRICAN BRIDGE TO EDUCATION
By Alex John Luketa Virginia International University students and alumni are passionate about business, technology, innovation, and bringing change to their communities. One of our most passionate...
View ArticlePicha za video mpya ya Ali Kiba Hizi Hapa
Alikiba anatarajia kuwapa mashabiki wake zawadi waliyoisubiri kwa muda mrefu – video.Alikiba akiwa katika kazi Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi. Kupitia...
View ArticleKILWA ROAD PUB YASHINDA SHINDANO LA FANYAKWELI KIWANJANI
Bw. Nickolas Mwaisaka (51) mkazi wa Kurasini na mpenzi wa bia ya Tusker akikumbushia enzi zake stejini baada ya kujumuika na wateja wengine wa bia ya Tusker kuipongeza baa ya wiki ya “Kilwa road Pub”...
View ArticleJokate Mwegelo Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba
Kila mtu anaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi licha ya kupost tu picha zao kwenye Instagram na hivyo kukuza zaidi tetesi hizo. Lakini...
View ArticleVibali Vyampa Changamoto Ali Kiba
Kitendawili kilichokuwa kikiwaumiza vichwa mashabiki wa Ali Kiba, kimeteguliwa na meneja wake baada ya kuweka hadharani sababu ya kuchelewa kutengenezwa wa video ya wimbo wa “Cheketua” ya msanii huyo...
View ArticleMr. Blue: Mke Wangu Kanifanya Niache Kuvuta Bangi
Mkali wa Bongo Fleva ,Mr Blue amefunguka kuwa mke wake aitwaye Wahyda amemfanya aache kuvuta vilevi vyote vikali ikiwemo bangi,pombe,sigara,mirungi,n.k. Mr Blue amendika leo kupitia akaunti yake ya...
View ArticleM.K PUB-YAFUNGA SHINDANO LA FANYAKWELI KIWANJANI KWA KISHINDO JIJINI DAR
Wahudumu wa baa ya MK-Kinondoni wakipozi katika picha wakati wa sherehe za kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa mwisho wa shindano la Fanyakweli Kiwanjani lilofanyika siku ya jumamosi jijini...
View ArticleBENKI YA NMB YAZINDUA RASMI FAMILIA YA KADI ZA BENKI “MASTERCARD DEBIT”...
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini W. Mkapa aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya ya Mastercard...
View ArticleMwanamuziki Fid Q Chukua Tahadhari, Umeshuka Sana Kimuziki
Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana. Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii kitu...
View ArticleDAVIDO Atoa Mpya Kwa Vimbele mbele wa Tanzania Wanaomvutia Yeye MTV Awards,...
Hii kali soma ka screenshot chini.... Imeandika "Tanzania Thanx 4 voting but i don want distabance in my acc plz vote Diamond not me Plz" Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na...
View ArticleWEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA
Wema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.Wema Sepetu akiwa na mama yakeMashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe: Nina wazo kwenu nyote....
View Article