Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Video : Ali Kiba ajibu kwa nini hamsaidii Abdu Kiba afanikiwe kimuziki

$
0
0
http://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/kibaaa.jpgBaada ya kupata dili la kujiunga na label kubwa sana duniani ya Sony, watu wengi walimpongeza kwa hatua kubwa aliyofikia. Kwani Kiba ndio msanii wa kwanza Tanzani ambae kazi zake zitakua zikisimamiwa na kampuni hiyo kubwa.

Ni ukweli usiofichika kua Kiba ni msanii mkubwa sio tu Tanzania bali Afrika nzima. Watu wengi wamekua wakijiuliza ni kwa nini Kiba hamsaidii mdogo wake Abdu Kiba ili na yeye awe maarufu na mwenye mafanikio kama yeye?? Kiba amejibu swali hilo, unaweza tazama video hapa chini kumskia....


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles